Acknowledgment

MY FIRST SPEECH
 

I am delighted and thankful for your presence here at this exhibition. This is the first exhibition of its kind in that this art doesn’t reflect traditional Arabic calligraphy but rather it conveys a direct relationship with the inscribed verse. I take this opportunity to explain the inspiration behind my work and hopefully enlighten our vision.

    The Quran has inspired art and frames the Muslims’ way of life to become better mentally and physically. For instance the verse of throne is an example that creates mental peace and protection as it is mentioned in several hadiths. The verse of throne (ayat tul-kursiyyu) is recited for protection of all evils. This is represented in the form of a shield to symbolize protection. The shield itself is used to protect the fighter from an enemy.

   Secondly, Quran has manifested the resemblance the pieces of land which appears to be resemble each other according to the island of Zanzibar with the virtues of trees and grapes trees and other trees. According to the Suratul-Raad ( Chapter of lighting )verse 4 which says “ And in the earth are tracts (diverse though) neighbouring ,And gardens of vines And fields sown with corn, and Palm trees-growing out of single roots or  otherwise: watered with the same water, yet some of them We make More excellent than others to eat.Be hold , verily in these things there are signs for those who understand!” . According to the context of this  islands which are virtue with fortuned with fortune of different trees. And upon us Zanzibarian to preserve the trees of all sort especially date trees and cloves trees. Which they are indengiounnus to us. Or doing this is make a considerations of the verse 4 surat– Raad. Which says “ Be hold, verily in these  things There are signs for those who understand!”

   Thirdly, the Quran is a fountain of knowledge which encourages Muslims to have determination to acquire the knowledge of nature. For example, the verse from Suratul Am’biyya chapter 21 verse 107 says that “And we have not sent you, (Oh Mohamed), except as a mercy to the worlds.” The word mercy in Arabic has different meanings such as light, forgiveness, etc. which I drew as a candle to symbolize a source of light used worldwide which radiates for the whole of humanity.

    Furthermore, the Quran provide scientific knowledge. There are thousands of verses which reveal scientific facts. For example, I drew a coffee pot which is inscribed with Suratul Attur chapter 27 verse 19 which says “(They will be told), eat and drink in satisfaction for what you used to do.” Some people consume food and drink without knowing the nourishment of the food which on the contrary becomes harmful to all human beings whether Muslim or non-Muslim.

   From these examples we come to understand that the Quranic verses are a reflection of eternity for mankind whereby the do’s and don’ts sustained are for a better life style. Through this Quranic art work, it  is my intention to make  these verses accessible for any Muslim to read and appreciate the beauty of Quran.  More importantly is the thawab that Allah bestows on a Muslim as they recite the Holly Quran. After all, the hadith says “when you read Quran you get thawab, not only if you read (alif lam mim) you get 10 thawab but alif (harf) lam (harf) mim (harf) you end up with 30 thawab.”

 MY SECOND SPEECH
 

Risala (nasaha) ya sheikh Ali Hemed Jabir

(Maarouf Sheikh Aliyani)

Baada ya utangulizi wake ……………

     “Nyinyi wenzangu wote mlohudhuria hapa ni watu mnayo yajua mengi sana bila ya kujali umri wenu na kila kitu mna kijua na mnafahamu mambo  mengi kweli kweli . Kwangu mimi imetokea nafasi ya kuzungumza kwa hivyo msifikirie kuwa mimi najua mengi sana , yapo mnayoyajua nisiyoyajua  na yako mnayoyajua nyie ambayo mimi siyajui . Allah (S.W) ameteremsha Qurani Tukufu na ndiyo ikawa ni sababu yakuwepo fani mbali mbali ambazo wamezishika waislamu iko mifano katika aya ambayo imeshajihisha juu ya mambo kama haya ya uchoraji ,kulima n.k, ya kwamba katika Suratul tawbah inasema “na sema (ewe Muhammad) fanyeni kazi Allah atakufanyieni wepesi kazi zenu” .Aya  hii inna himiza watu wafanye kazi kwa kutumia mikono yao ikiwemo haya tunayo yaona . Na Mtume (S.A.W) aliwaona maswahaba zake wanafanya kazi za mikono, wakiwa katika mikono yao kuna athari za mikono au alama za kuvimba vimba , akasema Mtume  (S.A.W)  “hii ni mikono  ambayo anaipenda Mwenyezi Mungu na Mtume wake” .

           Kuwa kazi za mikono ndizo anazo zipenda Allah (S.W) kama uchoraji , kujenga, kulima ambazo zinazofanywa na mkono .Na zipo aya ambazo zenye kushajihisha kufanya kazi za mikono na kutokana na waislamu kushikamana na aya hizo maswahaba walifanya maajabu makubwa na wakawa wavumbuzi wakubwa  duniani na kufanya kazi mbali mbali za kuji endeleza .

        Unaweza kufanya jambo  usijue kwamba umefanya nini ?na Ilhali ni jambo zuri ,anaweza akatokezea mtu ana swali na asijue kama anaswali uzuri na akasema  mie sijasali uzuri , kumbe ndo amesali kushinda wanao Sali kwa kuzingatia mambo yote muhimu ya mwenye kusali uzuri ,ndo huyu Kassim Majid Ahmed amefanya kitu pasi na kujua na kutokana na risala yake aliyoisoma alisema kuwa hajui khati zake ni za aina gani.

         Lakini kumbe Kijana Kassim anatumia Khati zinazotumika sasa ulimwenguni mzima kwa waarabu wote hati zenyewe zinaitwa “MUBTIKAR” ndizo anazozitumia kijana Kassim lakini alikua hajui , Lakini kishapasi kuwa anatumia khati munasaba na kazi yake .Hakutumia hati zile maarufu kama thuluth,Quufi na khati ruqa’a ,naskhi  ,faarisiy ,Diiwann ambazo hakuna hatamoja zilizo dhihiri katika sanaa hii. Lakini alizozitumia ni  “Khatu za Mubtikar”kwa kuwa ujumbe aloandaa utafika upesi kwa nchi za kiarabu na kirahisi. Umepasi kabisa kwa utumiaji hati hizo pasi kassim kujua . Ama waislamu wenye kazi hizi wame tawanyika sehemu mbali mbali ulimwenguni walikuwa wameendelea wakiitwa kwa jina maarufu Vandals ambao hawa wako sehemu ya kusini ya urusi hata wengine wanaitwa franks, Germans,  na makabila mengine yalikuwa yametapakaa katika “continental Europe  na hata walitawanyika katika Continental Asia .Mpaka kabila la vandals lilifika katika nchi hivi sasa ina itwa Espania ambayo waarabu wamekuja kuuita  Wannahari na mji wao uliitwa BILADUN WANNAHARI hata ulivyokuja  uislamu katika miaka ya mwisho ya karne ya kwanza ya hijria ambao mwaka huo waliuweneza Uislamu ambapo mjimkuu wake unaeleweka kwa lafdhi mblili, watu wa kaskazini wana ita QURDOVA na watu wa kusini wanauita QORDOBA kwasababu watu wa kusini wana athari ya lugha ya kiarabu . Mpaka mnamo muda wa miaka miananane mji huu ulistawi kuwa dini yao ni dini ya kiislamu .

                Watu wake walitulia katika ukweli (uislamu) nakuweza kuwa wavumbuzi wa mambo mengi wakiwemo matabibu, wachoraji na fani tofauti  kama kina ibni Sina na wengine na kwahiyo siajabu kwamba kassim anatokana na mishipa hiyo hiyo.

     Kwa upande wa baba yake kama anajijua ,wanaitwa mariyami ,Riyami si kabila bali ni mlima Ambao walikuwepo watu wenye asli yanabahani (banii Ghaafir ) ,hata siku moja walivokua wanatoka huko wanapotoka na majahazi yao mingi yakiongozwa na majahazi saba mbele akiwemo mfalme anaitwa Suleiman Bin Suleiman Bin Mudhaffar Al-Nabahaniy, hata ghafla ulipunga upepo mkubwa na mkali ukasababisha  kufikia katika katika pwani  ya kusini ya Omani katika mlima wa Riyami .Walivofika wakabadilisha kabila kuwa Riyami,lakini asli yao ni Nabahaniy .

  Sasa tujiulize hao watu wamefanya nini katika utawala wao?

      Suleiman Bin Suleiman Bin Mudhaffar Al Nabahani walikuja sehemu za lamu na Pate walianzisha tawala za kifalme katika sehemu hizo na watu wake wakaanzisha uchoraji ,ushonaji wa majoho na kutengeneza miskiti na mambo mbali mbali yanayoshabihiana na majengo ya Unguja na Pemba .Suleima Bin Suleiman Bin Mudhaffar Al Nabahaniy alianzisha tawala za kifalme Pate mnamo mwaka 601 hijiria sasa mpaka sasa walivokuja wareno wakazivuruga tawala hizo kutokana nakumuasi Allah (S.W) na kuvurugika tawala hizo.

    Mpaka Shekhe mmoja anaitwa Sheikh Abdallah bin Nassir  alitunga alitunga  utenzi  unaitwa AL INTISHAFI kuwa uwo utenzi anaskitika juu ya kuvurugika tawala za lamu na Pate .kwahiyo kassim kufanya haya ni athari ya watu wale wale wa mwaka 601 hijria ,tulidhani kuwa imepotea bali kumbe virembwe vinavyokuja wamekuja kuviibua kama huyu kassim ili kurejesha historia ya Africa mashariki    iliondoshwa na wareno  miaka mingi.

      Natukirudi katika aya yetu inayosema “natumieni mikono yenu kwa kazi tofauti  Allah (S.W) atakuwepesishieni katika kazi zenu ………..”

        Na tutumie mikono yetu katika ibadah tofauti , kulisha mayatima na mengi mengineyo.

        Mimi sijui chochote  nakua nasukuma sukuma tu……………..

                     WASALAMU ALEIKUM WARAHMA TULLAHI WABARAKATU



My first Exhibition

 
http://youtube/4jQnrhmqxcc
or search on KAM-AHSARI QURANIC ART on you tube
 

 

 
 

SHORT HISTORY OF ZANZIBAR ACCORDING TO MY QURANIC PICTURES
 
(ENGLISH)

        
The island of Zanzibar that is Unguja and Pemba1 are the island which have been gifted2 indifferent virtues which are there life belong to the trees which are there life belong to the trees which there life also depending on water3. According to a different historical occasions4 great education endeavor was done in a history and the spread of education5 and their leaders have kept their effort to keep the Islam alive6 upon Allah (S.W) verily is a judgment upon7 their leaders hip when times comes8 for a judgment of good and bad deeds.

 
              The leaders were native Islamic garment, which in their clothing there clothing they were putting swords9 and dagger10 and other clothing. And they are most of the drinks were coffee11. The leaders of Zanzibar islands they are most keeping memories in the scrolls12 which explain about the religious base of Zanzibar which came to be a light of candle13 in order to keep Islamic forward. According to that of different Generation proved to be good generation14 of Islam and to be faith to Allah (S.W) Zanzibar ware smelled good perfumes more than flower15. And above my words in every house of Zanzibar became to be most ot the worshipers and attend the call of Allah (S.W) in different meaning16 and above all of that according to obedience and faithful, our deed s our faith, Allah (S.W) bestows us with clove17, which has got a treatment of different diseases and even economic diseases and whole leadership of Zanzibar.

 
(SWAHILI) 

Visiwa vya Zanzibar1 (Unguja and Pemba) ni visiwa  vilivyo pewa Zawadi2 na neema tofauti .visiwa hivi ambavyo uhai wake wamiea umetokana na maji3 .visiwa hivi matokeo yake ya Historia tofauti4 yana tokana na ijitihadi ya elimu4 na kusambaza  elimu5 hiyo na viongozi wake  kujitahid kuweka uislamu hai6 juu ya yote Allah ni mwenye kuhukumu7 juu ya uongozi  wao ukifika wakati maalumu8 wa kupima mema na mabaya yao.

      Viongozi wake  walikua na Asli ya mavazi ya Kislam na katika mavazi yakiwemo Mapanga9 na hanjar10 na mavazi mengine na pia vinywaji vikubwa vilikua ni Kahawa11. Viongozi wa visiwa vya Zanzibar ni wingi wa kuweka kumbukumbu katika Suhfi12 zinazo onekana zinaelezea  kuhusu msingi wa kiislamu Zanzibar hata ikawa nuru mithili ya Mshumaa13 juu ya kupeleka uislam mbele .na kutokana na hivyo vizazi vingi14 vilithibiti kuwa vizazi vizuri  va Zanzibar va kislamu na takwa na vilikuwa vinanukia harufu nzuri kupita Mauwa15 .na zaidi ya maneno yangu ikawa  nyumba za wazanzibari ni wingi waku abudu  na kuitikia  wito wa Allah16 (SW) katika masail tofauti na juu ya hayo kutokana na takwa zetu matendo yetu ,imani zetu, khushui zetu Allah aka tutunuku neema ya Karafuu17 yenye shifaa ya maradhi ya mwili na hata uchumi na uongozi wote wa Zanzibar.


 PICTURES
1


1 
2
 
3


4
5
 
6
 
7
 
8
 
11

10
 
 11


12
 
 13


14
 
15
 
 16


17

 






 
MY FIRST INTERVIEW ON ZCTV
 
 
1
 
 
2
 
 
3
 

1 comment: