MY FIRST SPEECH
I am delighted and thankful for your presence here at this exhibition. This is the first exhibition of its kind in that this art doesn’t reflect traditional Arabic calligraphy but rather it conveys a direct relationship with the inscribed verse. I take this opportunity to explain the inspiration behind my work and hopefully enlighten our vision.
The Quran has inspired art and frames the Muslims’ way of life to become better mentally and physically. For instance the verse of throne is an example that creates mental peace and protection as it is mentioned in several hadiths. The verse of throne (ayat tul-kursiyyu) is recited for protection of all evils. This is represented in the form of a shield to symbolize protection. The shield itself is used to protect the fighter from an enemy.
Secondly, Quran has manifested the resemblance the pieces of land which appears to be resemble each other according to the island of Zanzibar with the virtues of trees and grapes trees and other trees. According to the Suratul-Raad ( Chapter of lighting )verse 4 which says “ And in the earth are tracts (diverse though) neighbouring ,And gardens of vines And fields sown with corn, and Palm trees-growing out of single roots or otherwise: watered with the same water, yet some of them We make More excellent than others to eat.Be hold , verily in these things there are signs for those who understand!” . According to the context of this islands which are virtue with fortuned with fortune of different trees. And upon us Zanzibarian to preserve the trees of all sort especially date trees and cloves trees. Which they are indengiounnus to us. Or doing this is make a considerations of the verse 4 surat– Raad. Which says “ Be hold, verily in these things There are signs for those who understand!”
Thirdly, the Quran is a fountain of knowledge which encourages Muslims to have determination to acquire the knowledge of nature. For example, the verse from Suratul Am’biyya chapter 21 verse 107 says that “And we have not sent you, (Oh Mohamed), except as a mercy to the worlds.” The word mercy in Arabic has different meanings such as light, forgiveness, etc. which I drew as a candle to symbolize a source of light used worldwide which radiates for the whole of humanity.
Furthermore, the Quran provide scientific knowledge. There are thousands of verses which reveal scientific facts. For example, I drew a coffee pot which is inscribed with Suratul Attur chapter 27 verse 19 which says “(They will be told), eat and drink in satisfaction for what you used to do.” Some people consume food and drink without knowing the nourishment of the food which on the contrary becomes harmful to all human beings whether Muslim or non-Muslim.
From these examples we come to understand that the Quranic verses are a reflection of eternity for mankind whereby the do’s and don’ts sustained are for a better life style. Through this Quranic art work, it is my intention to make these verses accessible for any Muslim to read and appreciate the beauty of Quran. More importantly is the thawab that Allah bestows on a Muslim as they recite the Holly Quran. After all, the hadith says “when you read Quran you get thawab, not only if you read (alif lam mim) you get 10 thawab but alif (harf) lam (harf) mim (harf) you end up with 30 thawab.”
MY SECOND SPEECH
Risala (nasaha) ya
sheikh Ali Hemed Jabir
(Maarouf Sheikh
Aliyani)
Baada ya utangulizi wake ……………
“Nyinyi wenzangu
wote mlohudhuria hapa ni watu mnayo yajua mengi sana bila ya kujali umri wenu
na kila kitu mna kijua na mnafahamu mambo
mengi kweli kweli . Kwangu mimi imetokea nafasi ya kuzungumza kwa hivyo
msifikirie kuwa mimi najua mengi sana , yapo mnayoyajua nisiyoyajua na yako mnayoyajua nyie ambayo mimi siyajui .
Allah (S.W) ameteremsha Qurani Tukufu na ndiyo ikawa ni sababu yakuwepo fani
mbali mbali ambazo wamezishika waislamu iko mifano katika aya ambayo
imeshajihisha juu ya mambo kama haya ya uchoraji ,kulima n.k, ya kwamba katika
Suratul tawbah inasema “na sema (ewe Muhammad) fanyeni kazi Allah atakufanyieni
wepesi kazi zenu” .Aya hii inna himiza
watu wafanye kazi kwa kutumia mikono yao ikiwemo haya tunayo yaona . Na Mtume
(S.A.W) aliwaona maswahaba zake wanafanya kazi za mikono, wakiwa katika mikono
yao kuna athari za mikono au alama za kuvimba vimba , akasema Mtume (S.A.W)
“hii ni mikono ambayo anaipenda
Mwenyezi Mungu na Mtume wake” .
Kuwa kazi
za mikono ndizo anazo zipenda Allah (S.W) kama uchoraji , kujenga, kulima
ambazo zinazofanywa na mkono .Na zipo aya ambazo zenye kushajihisha kufanya
kazi za mikono na kutokana na waislamu kushikamana na aya hizo maswahaba
walifanya maajabu makubwa na wakawa wavumbuzi wakubwa duniani na kufanya kazi mbali mbali za kuji
endeleza .
Unaweza
kufanya jambo usijue kwamba umefanya
nini ?na Ilhali ni jambo zuri ,anaweza akatokezea mtu ana swali na asijue kama
anaswali uzuri na akasema mie sijasali
uzuri , kumbe ndo amesali kushinda wanao Sali kwa kuzingatia mambo yote muhimu
ya mwenye kusali uzuri ,ndo huyu Kassim Majid Ahmed amefanya kitu pasi na kujua
na kutokana na risala yake aliyoisoma alisema kuwa hajui khati zake ni za aina
gani.
Lakini kumbe
Kijana Kassim anatumia Khati zinazotumika sasa ulimwenguni mzima kwa waarabu
wote hati zenyewe zinaitwa “MUBTIKAR” ndizo anazozitumia kijana Kassim lakini
alikua hajui , Lakini kishapasi kuwa anatumia khati munasaba na kazi yake
.Hakutumia hati zile maarufu kama thuluth,Quufi na khati ruqa’a ,naskhi ,faarisiy ,Diiwann ambazo hakuna hatamoja
zilizo dhihiri katika sanaa hii. Lakini alizozitumia ni “Khatu za Mubtikar”kwa kuwa ujumbe aloandaa
utafika upesi kwa nchi za kiarabu na kirahisi. Umepasi kabisa kwa utumiaji hati
hizo pasi kassim kujua . Ama waislamu wenye kazi hizi wame tawanyika sehemu
mbali mbali ulimwenguni walikuwa wameendelea wakiitwa kwa jina maarufu Vandals
ambao hawa wako sehemu ya kusini ya urusi hata wengine wanaitwa franks,
Germans, na makabila mengine
yalikuwa yametapakaa katika “continental Europe” na hata walitawanyika katika Continental
Asia .Mpaka kabila la vandals lilifika katika nchi hivi sasa ina itwa Espania
ambayo waarabu wamekuja kuuita Wannahari
na mji wao uliitwa BILADUN WANNAHARI hata ulivyokuja uislamu katika miaka ya mwisho ya karne ya
kwanza ya hijria ambao mwaka huo waliuweneza Uislamu ambapo mjimkuu wake
unaeleweka kwa lafdhi mblili, watu wa kaskazini wana ita QURDOVA na watu wa
kusini wanauita QORDOBA kwasababu watu wa kusini wana athari ya lugha ya
kiarabu . Mpaka mnamo muda wa miaka miananane mji huu ulistawi kuwa dini yao ni
dini ya kiislamu .
Watu
wake walitulia katika ukweli (uislamu) nakuweza kuwa wavumbuzi wa mambo mengi
wakiwemo matabibu, wachoraji na fani tofauti
kama kina ibni Sina na wengine na kwahiyo siajabu kwamba kassim
anatokana na mishipa hiyo hiyo.
Kwa upande wa
baba yake kama anajijua ,wanaitwa mariyami ,Riyami si kabila bali ni
mlima Ambao walikuwepo watu wenye asli yanabahani (banii Ghaafir ) ,hata siku
moja walivokua wanatoka huko wanapotoka na majahazi yao mingi yakiongozwa na
majahazi saba mbele akiwemo mfalme anaitwa Suleiman Bin Suleiman Bin Mudhaffar
Al-Nabahaniy, hata ghafla ulipunga upepo mkubwa na mkali ukasababisha kufikia katika katika pwani ya kusini ya Omani katika mlima wa Riyami
.Walivofika wakabadilisha kabila kuwa Riyami,lakini asli yao ni Nabahaniy .
Sasa tujiulize hao
watu wamefanya nini katika utawala wao?
Suleiman Bin
Suleiman Bin Mudhaffar Al Nabahani walikuja sehemu za lamu na Pate
walianzisha tawala za kifalme katika sehemu hizo na watu wake wakaanzisha
uchoraji ,ushonaji wa majoho na kutengeneza miskiti na mambo mbali mbali
yanayoshabihiana na majengo ya Unguja na Pemba .Suleima Bin Suleiman Bin
Mudhaffar Al Nabahaniy alianzisha tawala za kifalme Pate mnamo mwaka 601
hijiria sasa mpaka sasa walivokuja wareno wakazivuruga tawala hizo kutokana
nakumuasi Allah (S.W) na kuvurugika tawala hizo.
Mpaka Shekhe mmoja
anaitwa Sheikh Abdallah bin Nassir
alitunga alitunga utenzi unaitwa AL INTISHAFI kuwa uwo utenzi
anaskitika juu ya kuvurugika tawala za lamu na Pate .kwahiyo kassim kufanya
haya ni athari ya watu wale wale wa mwaka 601 hijria ,tulidhani kuwa imepotea
bali kumbe virembwe vinavyokuja wamekuja kuviibua kama huyu kassim ili
kurejesha historia ya Africa mashariki
iliondoshwa na wareno miaka
mingi.
Natukirudi
katika aya yetu inayosema “natumieni mikono yenu kwa kazi tofauti Allah (S.W) atakuwepesishieni katika kazi
zenu ………..”
Na tutumie
mikono yetu katika ibadah tofauti , kulisha mayatima na mengi mengineyo.
Mimi sijui
chochote nakua nasukuma sukuma tu……………..
WASALAMU ALEIKUM WARAHMA TULLAHI WABARAKATU
My first Exhibition
http://youtube/4jQnrhmqxcc
or search on KAM-AHSARI QURANIC ART on you tube
1
2
3
8
11
10
11
13
16
or search on KAM-AHSARI QURANIC ART on you tube
SHORT HISTORY OF ZANZIBAR ACCORDING TO MY QURANIC PICTURES
(ENGLISH)
The island of Zanzibar that is Unguja and Pemba1
are the island which have been gifted2 indifferent
virtues which are there life belong to the trees which are there life belong to
the trees which there life also depending on water3.
According to a different historical occasions4 great
education endeavor was done in a history and the spread of education5
and their leaders have kept their effort to keep the Islam alive6
upon Allah (S.W) verily is a judgment upon7 their
leaders hip when times comes8 for a judgment of good
and bad deeds.
The
leaders were native Islamic garment, which in their clothing there clothing
they were putting swords9 and dagger10 and
other clothing. And they are most of the drinks were coffee11.
The leaders of Zanzibar islands they are most keeping memories in the scrolls12
which explain about the religious base of Zanzibar which came to be a light
of candle13 in order to keep Islamic forward. According to
that of different Generation proved to be good generation14
of Islam and to be faith to Allah (S.W) Zanzibar ware smelled good perfumes
more than flower15. And above my words in every house
of Zanzibar became to be most ot the worshipers and attend the call of
Allah (S.W) in different meaning16 and above all of that
according to obedience and faithful, our deed s our faith, Allah (S.W) bestows
us with clove17, which has got a treatment of
different diseases and even economic diseases and whole leadership of Zanzibar.
(SWAHILI)
Visiwa vya Zanzibar1 (Unguja and Pemba) ni visiwa vilivyo pewa Zawadi2 na neema tofauti .visiwa hivi ambavyo uhai wake wamiea umetokana na maji3 .visiwa hivi matokeo yake ya Historia tofauti4 yana tokana na ijitihadi ya elimu4 na kusambaza elimu5 hiyo na viongozi wake kujitahid kuweka uislamu hai6 juu ya yote Allah ni mwenye kuhukumu7 juu ya uongozi wao ukifika wakati maalumu8 wa kupima mema na mabaya yao.
Viongozi wake walikua na Asli ya mavazi ya Kislam na katika mavazi yakiwemo Mapanga9 na hanjar10 na mavazi mengine na pia vinywaji vikubwa vilikua ni Kahawa11. Viongozi wa visiwa vya Zanzibar ni wingi wa kuweka kumbukumbu katika Suhfi12 zinazo onekana zinaelezea kuhusu msingi wa kiislamu Zanzibar hata ikawa nuru mithili ya Mshumaa13 juu ya kupeleka uislam mbele .na kutokana na hivyo vizazi vingi14 vilithibiti kuwa vizazi vizuri va Zanzibar va kislamu na takwa na vilikuwa vinanukia harufu nzuri kupita Mauwa15 .na zaidi ya maneno yangu ikawa nyumba za wazanzibari ni wingi waku abudu na kuitikia wito wa Allah16 (SW) katika masail tofauti na juu ya hayo kutokana na takwa zetu matendo yetu ,imani zetu, khushui zetu Allah aka tutunuku neema ya Karafuu17 yenye shifaa ya maradhi ya mwili na hata uchumi na uongozi wote wa Zanzibar.
PICTURES
1
4
5
6
7
10
12
14
15
17
MY FIRST INTERVIEW ON ZCTV
1
2
3
well awesom
ReplyDelete